Klabu ya Real Madrid imesisitiza kuwa haiwezi kumuachia nyota huyo aondoke, taarifa hizo ilikuwa kabla ya Benzema hajathibitisha kuwa anataka kuondoka au hataki, ila post yake ya twitter aliyopost August 24
ina jibu maswali yote ya Benzema atacheza wapi msimu ujao. Jibu ni rahisi tu atabakia Madrid kwa mujibu wa tweet yake
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni