TANGAZO

TANGAZO

Jumatano, 11 Novemba 2015

TOTO AFRICANS YAITISHA MKUTANO WA DHARURA

Toto logo 

Mkutano Mkuu wa Dharula wa Klabu ya Toto Africans unatarajiwa kufanyika tarehe 22 Novemba Mwaka huu jijini Mwanza.
Taarifa hiyo imetolewa leo na mwenyekiti wa klabu hiyo Bw. Godwin Aiko wakati akizungumza na mwanamichezo wetu wa jijini Mwanza.

Jumanne, 10 Novemba 2015

CHALLENGE CUP: KILIMANJARO STARS YAPANGWA NA WENYEJI

John Bocco-Stars
Ratiba ya michuano ya Kombe la Challenji kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa Senior Challenge Cup) imetoka jana ambapo timu ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ imepangwa kundi moja na wenyeji Ethiopia.
Katika taarifa ya CECAFA iliyotolewa jana, Kilimanjaro Stars imepangwa kundi

Magazeti ya Tanzania leo Novemba 11, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews



Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumanne Novemba 11, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote ziko hapa

Alhamisi, 17 Septemba 2015

Diwani kata ya Ubungo kizimbani kwa kujeruhi


Kushoto ni Diwani wa kata ya Ubungo anayemaliza muda wake, Boniface Jacob akisindikizwa na Afisa usalama wa jeshi la polisi. 
 Diwani wa kata ya Ubungo anayemaliza muda wake, Boniface Jacob leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam akituhumiwa kumpiga na kumjeruhi mwandishi wa habari wa gazeti la Uhuru, Christopher Lisso.

Jumatano, 9 Septemba 2015

KANISA LA KATOLIKI LAJA NA MPYA SOMA HAPA





KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis jana alieleza mabadiliko mapya yanayolenga kuwarahisishia Wakatoliki kuvunja ndoa zao na kuoa upya.

Dhamira hiyo ni ishara nyingine ya dhamira ya Papa huyo kutaka kulifanya Kanisa Katoliki liwe rafiki zaidi na kuendana matakwa ya walio wengi.

Jumapili, 6 Septemba 2015

WAYNE ROONEY AMWAGA SIFA KWA MESSI HIKI NDICHO ALICHO KISEMA

ESSI
 Mchezaji wa timu ya taifa ya Uingereza na Manchester United Wayne Rooney amefikia rekodi ya mkongwe wa Uingereza Sir Bobby Charlton ingawa kwa penati. Rooney ameweza kufikia rekodi hiyo ya magoli kwa akiwa kwenye mechi na San Marino baada ya England kushinda kwa 0-3.