TANGAZO
Jumapili, 12 Februari 2017
AWAMU YATATU YA MAKONDA INAKUJA SOMA HAPA........
Picha na Mtandao
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda yupo kwenye midomo ya watu wengi baada ya sakata la dawa za kulevya kuchukua headlines na kutaja watu mbalimbali kwenye orodha hiyo.
Wiki iliyopita Paul Makonda alitaja watu 65 kwenye awamu yake ya pili na sasa yuko tayari kwa awamu ya tatu ambapo ame
Ijumaa, 10 Februari 2017
Kibao cha Sina swaga chake young killer kimepelekea kutokuwepo kwa maelewano kati yake na Jesus
Rapa Jesus
Msanii wa HIPOP Tanzania Aitwae JESUS amekili kutokuwepo kwa maelewano kati yake na young killer hivi sasa baada ya kibao cha Sina swaga chake young killer.
Msanii wa HIPOP Tanzania Aitwae JESUS amekili kutokuwepo kwa maelewano kati yake na young killer hivi sasa baada ya kibao cha Sina swaga chake young killer.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)