
Naomba kuweka kumbukumbu sawa tu kwamba Zitto ni rafiki yangu tangu nikiwa CHADEMA lakini haimanishi tunakubaliana kila kitu
.
Naudhika kuona wafuasi wake wakiandika uongo ambao hata yeye mwenyewe Zitto anajua ni uongo kwamba alinisaidia kwenye kampeni
Ukweli wa Mungu Zitto hakunisaidia hata lita ya mafuta kwenye kampeni
kwasababu anazojua yeye ambazo nisingependa kumsemea. Aliahidi tu kwenye
magazeti.
Labda wafuasi wake wamrudie kumuuliza vizuri. Kuhusu ESCROW nimeshasema
jana kwamba Umma unajua na nimeshaeleza kwamba chanzo ni gazeti la
CITIZEN.
Nilichofanya ni kufuatilia chanzo hicho na kufanyia kazi na ilikuwa April2014
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni