TANGAZO

TANGAZO

Alhamisi, 20 Agosti 2015

Rais Nkurunziza aapishwa kwa muhula wa 3


Mwandishi wa BBC Prime Ndikumagenge nchini Burundi anasema kuwa sherehe hiyo imefanyika kwa mshangao mkubwa kwa kuwa rais Nkurunziza alitarajiwa kuapishwa wiki ijayo. Hatahivyo hakuna kiongozi wa taifa lolote aliyehudhuria sherehe za kuapishwa kwake huku Afrika kusini ikishirikishwa na waziri mmoja kulingana na shirika AFP. Mataifa kadhaa yakiwemo yale ya China na Urusi yalituma mabalozi wao.

Copy the BEST Traders and Make Money (One Click) : http://ow.ly/KNICZ

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza anaapishwa kwa muhula wa tatu uliozua utata. Mwandishi wa BBC Prime Ndikumagenge nchini Burundi anasema kuwa sherehe hiyo imefanyika kwa mshangao mkubwa kwa kuwa rais Nkurunziza alitarajiwa kuapishwa wiki ijayo. Hatahivyo hakuna kiongozi wa taifa lolote aliyehudhuria sherehe za kuapishwa kwake huku Afrika kusini ikishirikishwa na waziri mmoja kulingana na shirika AFP. Mataifa kadhaa yakiwemo yale ya China na Urusi yalituma mabalozi wao

Copy the BEST Traders and Make Money (One Click) : http://ow.ly/KNICZ



Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza anaapishwa kwa muhula wa tatu uliozua utata.
Mwandishi wa BBC Prime Ndikumagenge nchini Burundi anasema kuwa sherehe hiyo imefanyika kwa mshangao mkubwa kwa kuwa rais Nkurunziza alitarajiwa kuapishwa wiki ijayo.
Hatahivyo hakuna kiongozi wa taifa lolote aliyehudhuria sherehe za kuapishwa kwake huku Afrika kusini ikishirikishwa na waziri mmoja kulingana na shirika AFP

Jumatatu, 10 Agosti 2015

Licha ya kipigo cha goli 2-0 Hizi ni kauli za Wenger kuhusu kusajili

Kocha wa klabu ya Arsenal ya Uingereza Arsene Wenger ambae anafahamika kwa kutofanya manunuzi ya wachezaji kwa gharama ya juu, hadi sasa hajafanya usajili wowote mkubwa wakuongeza nguvu kikosi chake. Wengi walidhani baada ya kipigo cha goli 2-0 kutoka West Ham United huenda atafanya usajili mapema

Jumatatu, 3 Agosti 2015

Rais Nkurunziza aomba utulivu Burundi



Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ameomba utulivu baada ya wapiganaji waliovalia magwanda ya kijeshi kumuua mmoja ya majenerali walio na ushawishi mkubwa serikalini

Katika hotuba kwa taifa muda mchache tu baada ya shambulio hilo,Nkurunziza aliomba utulivu akisema kuwa kisasi kitamaliza kizazi chote

Msuva? Hapana, kama Niyonzima sawa

STRAIKA wa Simba, Mussa Hassan ‘Mgosi’, amebainisha kuwa itakuwa ngumu kwa winga wa Yanga, Simon Msuva, kucheza Simba kutokana na staili yake isiyovutia, lakini ni rahisi zaidi kwa Haruna Niyonzima au Salum Telela kutua Msimbazi na kung’ara.
Mgosi alisema kati ya viungo wanaotamba nchini, Niyonzima na Telela ndiyo wachezaji pekee wa Yanga wanaoweza kuichezea Simba na kutamba kwa utamaduni wa soka la Simba, lakini siyo kwa mchezaji kama Msuva aliyedai haendani na aina ya soka la Msimbazi

MAWAZILI WENGINE HOI KURA ZA MAONI NA WENGINE WAPONEA CHUPU CHUPU SOMA HAPA....

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe

Baadhi ya vigogo wakiwamo mawaziri, wabunge  wameangushwa katika kura za maoni za kutafuta wagombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
 
Miongoni mwa waliangushwa ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe.
 
Wamo pia Manaibu mawaziri wa mambo ya ndani ya nchi na mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa. 
Aidha, wamo mawaziri wa zamani, mkuu wa mkoa na

Jumapili, 2 Agosti 2015

Hii ndio zawadi ya harusi ambayo Cristiano Ronaldo anamnunulia wakala wake

Ni zawadi gani ya ndoa unaweza kumnunulia wakala namba moja wa wachezaji duniani?
‘Super agent’ Jorge Mendes, wakala wa Jose Mourinho, James Rodriguez, Nani, Falcao, Angel Di Maria, Cristiano Ronaldo – anatarajia kumuoa mchumba wake wa siku nyingi – Sandra Barbosa huko nchini Ureno.
ambaye ni mteja mkuu wa Mendes, atakuwa ‘best man’ katika harusi hiyo, na taarifa kutoka nchini Ureno zinasema mshambuliaji huyo wa Madrid anatarajia kumpa zawadi ya ‘kisiwa’ atakachomnunulia huko nchini Ugirik

MAKONGORO MAHANGA AHAMIA CHADEMA BAADA YA KUTANGAZA LEO



Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake,Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) nyumbani kwake Segerea mwisho, wakati akitangaza kujiondoa