TANGAZO
Jumanne, 5 Januari 2016
JE? WAJUA HELUFI YA MWANZO MWA JINA LAKO INAWEZA KUKUONESHA TABIA ZAKO? SOMA HAPA.................
A; Haraka, Pupa ya Maisha
Wenye jina linaloanza na herufi ”A” ni Watu wanaopenda mambo makubwa, Wanajiamini, na wenye uwezo wa kutimiza malengo yao, Ni watu wenye tahadhari Katika kila jambo, Wachangamfu na wanaopenda Matukio. Wanapenda kuheshimiwa, Wanapenda mamlaka, Wana kiburi na ni Watu wenye hasira.
B; Inawakilisha Kazi, Pesa, Mapenzi, Ujenzi.
Wenye jina linaloanza na herufi “B” ni Watu Wakarimu , Waaminifu na Wenye kupenda kazi. Ni watu Jasiri, Shujaa na Wakatili katika vita au pale wanapotaka kulinda vyake au vilivyo katika himaya au Mamlaka yao.
Uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa DART
OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA – TAMISEMI
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA – TAMISEMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Boniface
Simbachawene (Mb) kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 2(2) cha
Amri ya kuanzisha Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), (The
Executive Agencies) (The Dar Rapid Transit Agency) (Establishment) Order
) Tangazo la Serikali namba 120 la 2007, amemteua Mhandisi Ronald
Lwakatare kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa
Jumatatu, 4 Januari 2016
MTU MMOJA ADAIWA KUKUTWA AMEFARIKI LEO ASUBUHI JIJINI MBEYA.
Mtu mmoja Jijini Mbeya (PICHANI JUU) ambaye hakuweza kutambulika kwa
Majina,inadaiwa amekutwa amefariki leo asubuhi kwenye moja ya uchochoro wa nyumba zilizopo katika mtaa wa Mwamfupe.Hii ni mipango mingine ya meneja wa Chelsea Guus Hiddink kwa klabu yake…
Pamoja na mabingwa watetezi wa ligi kuu ya
England Chelsea kupoteza matumaini ya kutwaa ubingwa kwa mara nyingine
lakini kocha wao mpya Guus Hiddink ana mipango mingine ya ushindi.
Baada ya ushindi wa jana wa mabao 3-0 Hiddink
amesema klabu yake hiyo inaweza kumaliza ligi hiyo ikiwa katika nafasi
nne bora za juu mwishoni mwa msimu huu.
NANI NI NANI SERIKALI YA JPM?: Dk Hussein Mwinyi – Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Historia na Elimu
Dk
Hussein Mwinyi ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika
Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la
mawaziri la Rais John Magufuli. Kiongozi huyu pia ni mbunge wa jimbo la
Kwahani lililoko Unguja, Zanzibar.
Dk
Hussein Mwinyi ana miaka 49 hivi sasa na
Aliyetapeli Sh600 milioni kwa uganga anaswa
Moshi.
Jeshi la Polisi limefanikiwa kumtia mbaroni mkazi mmoja wa jijini Dar
es Salaam, anayetuhumiwa kujifanya mganga wa kienyeji na kumtapeli mke
wa mmiliki wa shule moja ya sekondari Sh600 milioni.
Mtuhumiwa
huyo alifanikiwa kutapeli fedha hizo baada ya mwanamke huyo kukataa
ushauri wa awali kuwa ili dawa ya kufanya wanafunzi wafurike shuleni
hapo ifanye kazi, waue mwanafunzi mmoja kimazingara. Alipokataa ushauri
huo ndipo alipoambiwa atoe fedha ili atengenezewe dawa mbadala.
Kipindu pindu cha shika kasi Manspaa ya Morogoro
Afisa afya Manispaa ya Morogoro:GABRIEL MALISA
Picha :maktaba
Na Thomas Wikesi
Kutokana namilipuko wa Ugonjwa wa kipindupindu mkoani morogoro ,Afisa afya wa manispaa ya MOROGORO Bwana Gabriel Malisa amewataka wakazi wa manspaa ya hiyo kuwa makini na vyakula ambavyo wanakula hasa kwa mamantilie .
Akizungumza Na Thomas blog Malisa Amesema wameanza
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)