TANGAZO
Ijumaa, 10 Februari 2017
Jumatano, 3 Agosti 2016
Tazama video maonesho ya nane nane mkoani ,morogoro yakiendelea huku Wananchi wa Tanzania waombwa kutumia hasa bidhaa zinazo tengeneza hapa nchini.
Wafanyabiashara na wakulima nchini wametakiwa kupenda bidha
zinazozalishwa ndani ya nchi badala yake wasipendelee kutumia bidhaa
zinazozalishwa nje ya nchi.
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa mauzo kutoka Kampuni
ya Old Ease International JOHN MCHARO mapema hii leo wakati akiongea na WIKESI
BLOGS kwenye Maonesho ya Nane nane katika uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere
mkoani Morogoro.
Jumamosi, 2 Aprili 2016
SERENGETI BOYS WAWAZABA MAFARAO 2-1 TAIFA
TIMU
ya taifa ya Vijana ya umri chini ya miaka 17, Serengeti Boys imeibuka
kidedea baada ya kuifunga ile ya Misri Mapharao mabao 2-1, katika mechi
ya kirafiki ya kujipima nguvu kujiandaa na michuano ya kufuzu fainali ya
vijana ya mataifa ya Afrika.
Mechi
hiyo iliokuwa ikichezeshwa na mwamuzi wa mwenye beji ya FIFA Israel
Nkongo Serengeti Boys ilianza kupata bao dakika ya 15,kupitia mchezaji
Benedicto aliyeachia shuti kali baada ya kuwatoka mabeki na wa timu hiyo
na mpira kutinga wavuni.
Zikiendelea kushambuliana kwa kasi timu hizo huku Serengeti Boys ikimiliki mpira kwa asilimia 51, wakati Misri walimiliki kwa asilimia 49 hadi timu hizo zinakwenda mapunziko Serengeti Boys ilikuwa mbele kwa bao 1-0.
Zikiendelea kushambuliana kwa kasi timu hizo huku Serengeti Boys ikimiliki mpira kwa asilimia 51, wakati Misri walimiliki kwa asilimia 49 hadi timu hizo zinakwenda mapunziko Serengeti Boys ilikuwa mbele kwa bao 1-0.
CHELSEA YAITWANGA ASTON VILLA 4-0, PATO AANZA KUANDIKA MABAO
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)



