Kocha wa klabu ya Arsenal ya Uingereza Arsene Wenger ambae anafahamika kwa kutofanya manunuzi ya wachezaji kwa gharama ya juu, hadi sasa hajafanya usajili wowote mkubwa wakuongeza nguvu kikosi chake. Wengi walidhani baada ya kipigo cha goli 2-0 kutoka West Ham United huenda atafanya usajili mapema
TANGAZO
Jumatatu, 10 Agosti 2015
Jumatatu, 3 Agosti 2015
Rais Nkurunziza aomba utulivu Burundi
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ameomba utulivu baada ya wapiganaji waliovalia magwanda ya kijeshi kumuua mmoja ya majenerali walio na ushawishi mkubwa serikalini
Katika hotuba kwa taifa muda mchache tu baada ya shambulio hilo,Nkurunziza aliomba utulivu akisema kuwa kisasi kitamaliza kizazi chote
Msuva? Hapana, kama Niyonzima sawa
STRAIKA wa Simba, Mussa Hassan ‘Mgosi’, amebainisha kuwa itakuwa ngumu kwa winga wa Yanga, Simon Msuva, kucheza Simba kutokana na staili yake isiyovutia, lakini ni rahisi zaidi kwa Haruna Niyonzima au Salum Telela kutua Msimbazi na kung’ara.
Mgosi alisema kati ya viungo wanaotamba nchini, Niyonzima na Telela ndiyo wachezaji pekee wa Yanga wanaoweza kuichezea Simba na kutamba kwa utamaduni wa soka la Simba, lakini siyo kwa mchezaji kama Msuva aliyedai haendani na aina ya soka la Msimbazi
MAWAZILI WENGINE HOI KURA ZA MAONI NA WENGINE WAPONEA CHUPU CHUPU SOMA HAPA....
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe
Baadhi ya vigogo wakiwamo mawaziri, wabunge wameangushwa katika kura za maoni za kutafuta wagombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Miongoni mwa waliangushwa ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe.
Wamo pia Manaibu mawaziri wa mambo ya ndani ya nchi na mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa.
Aidha, wamo mawaziri wa zamani, mkuu wa mkoa na
Jumapili, 2 Agosti 2015
Hii ndio zawadi ya harusi ambayo Cristiano Ronaldo anamnunulia wakala wake
Ni zawadi gani ya ndoa unaweza kumnunulia wakala namba moja wa wachezaji duniani?
‘Super agent’ Jorge Mendes, wakala wa Jose Mourinho, James Rodriguez, Nani, Falcao, Angel Di Maria, Cristiano Ronaldo – anatarajia kumuoa mchumba wake wa siku nyingi – Sandra Barbosa huko nchini Ureno.
ambaye ni mteja mkuu wa Mendes, atakuwa ‘best man’ katika harusi hiyo, na taarifa kutoka nchini Ureno zinasema mshambuliaji huyo wa Madrid anatarajia kumpa zawadi ya ‘kisiwa’ atakachomnunulia huko nchini Ugirik
MAKONGORO MAHANGA AHAMIA CHADEMA BAADA YA KUTANGAZA LEO

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake,Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) nyumbani kwake Segerea mwisho, wakati akitangaza kujiondoa
Jumatano, 29 Julai 2015
DK SLAA, TUNDU LISSU NA MNYIKA KUIHAMA CHADEMA? HAWAKUWEPO KUMPOKEA LOWASSA
TETESI ZILIZO ENEA KWA WINGI NA HUENDA ZIKAWA KWELI NI KUHUSIANAN NA LISSU
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)