Mechi
hiyo iliokuwa ikichezeshwa na mwamuzi wa mwenye beji ya FIFA Israel
Nkongo Serengeti Boys ilianza kupata bao dakika ya 15,kupitia mchezaji
Benedicto aliyeachia shuti kali baada ya kuwatoka mabeki na wa timu hiyo
na mpira kutinga wavuni.
Zikiendelea kushambuliana kwa kasi timu hizo huku Serengeti Boys ikimiliki mpira kwa asilimia 51, wakati Misri walimiliki kwa asilimia 49 hadi timu hizo zinakwenda mapunziko Serengeti Boys ilikuwa mbele kwa bao 1-0.