TASWIRA 11, NEWCASTLE YA BENITEZ IKIPIGWA 3-2 NA NORWICH, SASA IMECHUNGULIA DARAJA LA KWANZA
Leo,
Newcastle imechapwa mabao 3-2 dhidi ya Norwich. Kama ikiruhusu ifungwe
tena mechi ijayo, basi itakuwa imeteremka daraja ikiwa chini ya Kocha
Rafa Benitez ambaye amejiunga nayo ili awe mkombozi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni