Dogo Janja ni msanii wa bongofleva ambaye alikaa kwa ukimya wa miaka zaidi ya mitatu bila kufanya muziki lakini sasa amerudi, Nimekuletea alivo weza kuongelea ishu mbalimbali ikiwem kurudi kwake, maisha ya shule na mengine…
Tazama video akifanya interview na Millard Ayo
CHANZO:MILLARD AYO
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni