VIDEO: Serikali imeamua haya kuhusu viwango vipya vya ufaulu kwa wanafunzi…
February 18 Baraza la mitihani Tanzania NECTA
limetangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2015, jambo lingine
kubwa lililopewa nafasi ni hili la viwango vya ufaulu vilivyotangazwa
kuanza tena kutumika.
Hapa chini kwenye hii video nakusogeza karibu na Katibu mtendaji wa baraza la mitihani Tanzania NECTADk. Charles Msonde.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni