Nimepokea
kwa masikitiko makubwa sana taarifa ya kifo cha Mkuu wa Wilaya ya
Njombe na aliewahi kuwa Mtangazaji wa Radio Tanzania RTD, alievuma sana
na kipindi cha Mama na Mwana na vipindi vingine vingi, Dada Sara Dumba,
kilichotokea ghafla usiku huu.
Hakika ni taarifa ya kusikitisha sana na ni pigo kubwa kwa familia yake na tasnia nzima ya habari.
Mungu aiweke Roho ya Marehemu Sara Dumba, mahaha pema peponi
Amin.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni