Aliyewahi
kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha (mwenye kifimbo
mkononi) akilindwa na walinzi wa Chadema (Red Brigade) alipokuwa kwenye
msafara wa kumpokea mgombea wa urais kwa tiketi ya chama hicho, Edward
Lowassa, jijini Mwanza. Picha|Maktaba
Kwa ufupi
Masha amefikishwa mahakamani
hapo akiwa na vijana wengine 19 ambao wamesomewa shitaka la kutaka
kukusanyika bila kibali.Masha amefikishwa mahakamani hapo akiwa na
vijana wengine 19 ambao wamesomewa shitaka la kutaka kukusanyika bila
kibali.
By Emmanuel Mtengwa, Mwananchi Digitalliyewahi
kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha (mwenye kifimbo
mkononi) akilindwa na walinzi wa Chadema (Red Brigade) alipokuwa kwenye
msafara wa kumpokea mgombea wa urais kwa tiketi ya chama hicho, Edward
Lowassa, jijini Mwanza. HABARI KAMILI MWANA NCHI.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni