TANGAZO

TANGAZO

Jumatatu, 24 Agosti 2015

Tizama hii ya lowasa kupanda daladala leo Kupiga story na watanzania


Picha mbalimbali zikimuonesha Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ndugu Edward Lowassa akiwa ndani ya daladala alilopanda Kituo cha Gongolamboto mwisho kuelekea Chanika, alipokuwa kwenye ziara ya kujionea hali halisi ya shida ya usafiri wa umma (daladala) jijini Dar es Salaam leo.

Picha zingine zninamuonesha akilipa nauli yake

Picha zingine zinamuonesha akishuka kwenye daladala hiyo huku akipokelewa na Mgombea mwenza, Juma Duni Haji


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni