Diamond Platnumz ameamua kumtambulisha msanii wake wa kwanza mtu
wangu kutoka kwenye lebo yake ya WCB,msanii huyu anaitwa Harmonize na
hii ni singo yake ya kwanza inaitwa Aiyola,ukiisikiliza unaweza kuandika
comment hapo chini.
Bonyeza play kumsikiliza mtu wangu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni