TANGAZO

TANGAZO

Jumapili, 23 Agosti 2015

LOWASSA ASEMA SASA TIMU IMEKAMILIKA KWAJILI YA MAPAMBANO BAADA YA SUMAYE KUJIUNGA NA UKAWA

UKAWA II Stori za Siasa na uzito wake, zinatufikia mpya kila siku na kutoka Bahari Beach Dar es Salaam, Ukumbi uleule ambao July 28 2015 Mbunge wa Monduli anayemaliza muda wake na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Ngoyai Lowassa alitangaza kujiunga CHADEMA, Hapo jana Waziri Mkuu Mstaafu
Frederick Tluway Sumaye naye ametangaza kujiunga na Umoja wa Vyama vya UKAWA.

MMGL0986

Mawaziri Wakuu wa zamani, Edward Lowassa na Frederick Sumaye.
Frederick Tluway Sumaye ametumikia miaka kumi kwenye nafasi ya Uwaziri Mkuu wakati Mzee Benjamin William Mkapa akiwa Rais wa Tanzania kuanzia mwaka 1995 mpaka 2005… kwenye nilichomnukuu wakati akitangaza uamuzi huo kuna hizi sentensi pia.Mzee Sumaye ni mmoja wa Makada wa CCM waliochukua Fomu kuwania kupituishwa kwenye nafai ya Urais CCM lakini hakufaniukiwa kushinda nafasi hiyo
 Mzee Sumaye ni mmoja wa Makada wa CCM waliochukua Fomu kuwania kupitishwa kwenye nafasi ya Urais CCM lakini hakufanikiwa kupita kwenye nafasi hiyo.
USIKOSE KUTUTEMBELEA TENA: THOMAS WIKESI

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni