TANGAZO

TANGAZO

Jumapili, 2 Agosti 2015

MAKONGORO MAHANGA AHAMIA CHADEMA BAADA YA KUTANGAZA LEO



Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake,Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) nyumbani kwake Segerea mwisho, wakati akitangaza kujiondoa
uanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Agust 2/2015

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni