TANGAZO
Jumatano, 29 Julai 2015
DK SLAA, TUNDU LISSU NA MNYIKA KUIHAMA CHADEMA? HAWAKUWEPO KUMPOKEA LOWASSA
TETESI ZILIZO ENEA KWA WINGI NA HUENDA ZIKAWA KWELI NI KUHUSIANAN NA LISSU,SLAA,NA MNYIKA KUTO HUDHURIA SHUGHULI YA KUMKARIBISHA LOWASA KUJIUNGA NA CHAMA CHA CHADEMA KUTOKEA CCM HAPO JANA ,
YASEMEKANA HAWA VIONGOZI WATATU WAKIWEPO NA WANACHAMA WENGINE HAWAKUBALIANI NA KITENDO CHA LOWASA KUJIUNGA NA CHADEMA .HIVYO WANAJIANDAA KUFANYA MAAMUZI MAGUMU KWANI KUBAKI CHADEMA NI KAMA KULA MATAPISHI YAO WENYEWE WALIVYO KUWA WAKIMTUHUMU LOWASA ALAFU LEO HII WAKIMSIFIA
CHANZO; KAMANDA WA MATUKIO
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni