TANGAZO

TANGAZO

Alhamisi, 2 Julai 2015

Rick Ross ni jela au mtaani? Haya hapa kutoka Mahakamani na video yake..

       Rick-Ross-court


Headlines za Entertainment Marekani zilikuwa na story ya Rick Ross kukamatwa na kuwekwa ndani yeye pamoja na bodyguard wake, kesi yao ilikuwa ni ishu ya kuteka na kujeruhi watu wawili.
July 01 2015 kapandishwa Mahakamani, Georgia Marekani.. Kesi ikasomwa na milango ikawa wazi kwa jamaa kuwekewa dhamana


       
 





       Rick-Ross-Fed-Up-With-Jail-Lawyer-Argues-For-Bail-In-Court


Yuko Uraiani baada ya Mahakama kukubali dhamana ya dola Milioni 2 (ni zaidi ya Bilioni 4 Tshs), na sio hiyo pekeake.. kuna masharti ambayo Mahakama imempa pia, ikitokea akaingia mtaani alafu akavuruga tena basi atakuwa amelipoteza Jumba lake lenye thamani ya zaidi ya Bilioni 5 !!
Rick hajaachiwa hivihivi mtu wangu, Mahakama imeamrisha jamaa afungwe kifaa ambacho kinaitwa GPS Monitor mguuni, kokote anakopita wao watakuwa wanamfuatilia.

KUTAZAMA VIDEO ALIVYO KUWA AKIHUKUMIWA BOFYA HAPA;
https://youtu.be/PZJgZyDGTbo

CHANZO MILLADY AYO


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni