TANGAZO

TANGAZO

Jumatatu, 24 Agosti 2015

Karim Benzema anaondoka Real Madrid? hili ndio jibu lake……

Karim Benzema ambaye ni mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa mwenye asili ya Algeria alikuwa ana uhusishwa kuhama katika klabu yake ya sasa ya Real Madrid na kujiunga na klabu ya Arsenal licha ya vilabu vingi kumuhitaji ila Arsenal ilikuwa inapewa nafasi kubwa ya kumsajili Benzema.

0_138137714705_news

Klabu ya Real Madrid imesisitiza kuwa haiwezi kumuachia nyota huyo aondoke, taarifa hizo ilikuwa kabla ya Benzema hajathibitisha kuwa anataka kuondoka au hataki, ila post yake ya twitter aliyopost August 24
ina jibu maswali yote ya Benzema atacheza wapi msimu ujao. Jibu ni rahisi tu atabakia Madrid kwa mujibu wa tweet yake


karimu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni