Utawala wa kifalme
nchini Swaziland unaongozwa na mfalme Mswati umetakiwa kufutilia mbali
sherehe maarufu za kitamaduni baada ya wasichana kadha waliokuwa
wakisafiri kwenda kwa sherehe hizo kufa kwenye ajali ya barabarani.
Kundi linalounga mkono demokrasia nchini humo la (the Swaziland Solidarity Network) limetoa wito kwa mfalme Mswati kufutilia mbali sherehe hizo ambazo wasicha walio nusu uchi hucheza mbele ya mfalme.
CHANZO :BBC SWAHILI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni