Msanii chipukizi kutoka songea anae tambulika kwa jina la FADREE MTOTO WA KOMBA amewaahidi mashabiki wao kuwa letea video ya wimbo wake uitwao KILA SEHEMU KUME CHANGE iliyo fanyika mkoani mbeya ambayo imefanya na director PV
.
Akizungumza na mwandishi wetu msanii huyo anasema anawaomba wale wote walio kuwa wakisubilia video hiyo wawe na subira kwani video hiyo itatoka hivi karibuni. Pia ameongeza kuwa yuko mbioni kufanya ngoma na msanii maarufu hapa nchini ambapo yuko katika mazungumzo ya mwisho na star huyo na ikisha kuwa tayari atatujuza ni strar yupi atae fanya nae ngoma hiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni