TANGAZO

TANGAZO

Jumapili, 7 Februari 2016

ANGALIA PICHA KIBAO ZA USHAHIDI JINSI ZOUMA ALIVYOUMIA JANA KWENYE GEMU DHIDI YA MAN UNITED.. GET WELL SOON......


Beki wa kati wa Chelsea, Kurt Zouma ameumia goti lake upande wa nyuma baada ya kutua vibaya wakati akirejea chini alipokuwa akiwania mpira wa juu katika mechi dhidi ya Man United iliyoisha kwa sare ya bao 1-1.

Beki huyo anaweza akakaa nje ya uwanja kwa muda mrefu na tayari wachhezaji wengine wakianza wa Man United, wamekuwa wakimliwaza.

Juan Mata, alimfuata palepale uwanjani na Marouane Fellaini alikuwa wa kwanza kumpa pole baada ya mechi kwisha, lakini beki Luke Shaw ambaye pia ni majeruhi pia alitupia mtandaoni akimuombea apone haraka.




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni