Serikali imebaini wizi wa takribani
Milioni 700 katika Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), kupitia kampuni ya
wakala wa ukatishaji tiketi ya Salama World Travel ya Komoro.
Hapa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa anatoa maelezo yote, unaweza kumsikiliza
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni