TANGAZO

TANGAZO

Ijumaa, 5 Februari 2016

Hii hapa namba ya waliokamatwa kwa kuchoma mali za watuhumiwa wa mauji ya Diwani Muleba Kagera…(+Audio)


Ripoti kutokea Mkoa wa Kagera kuhusu lile tukio la mauaji ya Diwani aliyevamiwa na watu usiku akitazama Habari nyumbani kwake, Wananchi waliamua kuchoma mali za watuhumiwa wa mauaji, Kamishina msaidizi mwandamizi wa Polisi, Augustine Ollomi kwenye sentensi zake; – RPC Augustine Ollomi
Ni kweli kuna watu 13 tunawashikiria wanawake watatu na wanaume 10 kwa tuhuma za kuharibu mali za watuhumiwa wa mauaji kwa madai walihusika na mauaji ya Diwani wa Kata ya Kimwani Wilaya ya Muleba Kagera, Syliveste Mulinga ( CUF ), ;- RPC Ollomi
kamanda_kagera
Augustine Ollomi RPC Kagera
Katika ile kesi ya mauaji kuna mtuhumiwa mwingine ambae ametoroka tunamtafuta anaitwa Seleh, unajua haya matukio yanatokea mara chache yapo matukio yametokea Karagwe washitakiwa wamekamatwa na wengine wametiwa hatiani kwa makosa hayo na lingine la hapa Kimwani wilaya ya Muleba;- Augustine Ollomi RPC Kagera
Kusikiliza Bonyeza Play
CHANZO;MILLARDY AYYO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni