Bao
la kusawazisha lililofungwa dakika za mwisho na kiungo kinda
Wilfred Kaptoum liliinyima Valencia ushindi baada ya kuongoza kwa bao la
Alvaro Negredo.
Kufuatia
ushindi huo FC Barcelona imefanikiwa kutinga fainali ya Copa del Rey
kwa jumla ya mabao 8-1.Hii ni mara ya tano kwa FC Barcelona kutinga
fainali ndani ya miaka sita na huenda ikavaana na Sevilla Mei 21 ambayo
leo itakuwa ikicheza na Celta Vigo.Katika mchezo wa kwanza Sevilla
iliichapa Celta Vigo kwa mabao 4-0.
VALENCIA: Domenech
Sanchez, Nunes Vezo, Diallo, Santos, Gaya Pena, Barbosa da Silva,
Zahibo, Mina Lorenzo (Andre Gomes 71), Villalba Rodrigo (Salvador Edu
80), Piatti, Negredo (Bakkali 60)
Subs not used: Abdennour, Ryan, Carbonell Gil, Caballo
Goal: Negredo 39
Bookings: Diallo, Gaya Pena, Salvador Edu
BARCELONA:
Ter Stegen, Vidal Parreu, Bartra, Mathieu, Adriano (Pereira dos Santos
76), Samper, Vermaelen, Sergi, El Haddadi, Rakitic (Camara Mesa 76),
Ramirez (Kaptoum 82)
Subs not used: Masip, Gumbau, Romera Andujar, Alena
Goal: Kaptoum 84
Bookings: Samper, El Haddadi
Referee: Carlos Velasco Carballo
Sare ya bao 1-1
iliyoipata FC Barcelona dhidi ya Valencia jana usiku katika mchezo wa
nusu fainali ya pili ya kombe la Copa del Rey siyo kwamba imeiwezesha
kutinga fainali ya michuano hiyo pekee bali pia imeiwezesha miamba hiyo
ya Catalunya kuweka rekodi ya kucheza michezo 29 bila kupoteza mchezo
hata mmoja katika michuano yote na kuvunja rekodi yake ya mwaka 2010/11
ya kucheza michezo 28 bila kupoteza.
Bao la kusawazisha lililofungwa dakika za mwisho na kiungo kinda
Mcameroon Wilfred Kaptoum liliinyima Valencia ushindi baada ya kuongoza
kwa bao la Alvaro Negredo.
Kufuatia ushindi huo FC Barcelona imefanikiwa kutinga fainali ya Copa
del Rey kwa jumla ya mabao 8-1.Hii ni mara ya tano kwa FC Barcelona
kutinga fainali ndani ya miaka sita na huenda ikavaana na Sevilla Mei 21
ambayo leo itakuwa ikicheza na Celta Vigo.Katika mchezo wa kwanza
Sevilla iliichapa Celta Vigo kwa mabao 4-0.
Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu
Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni