TANGAZO

TANGAZO

Alhamisi, 17 Septemba 2015

Diwani kata ya Ubungo kizimbani kwa kujeruhi


Kushoto ni Diwani wa kata ya Ubungo anayemaliza muda wake, Boniface Jacob akisindikizwa na Afisa usalama wa jeshi la polisi. 
 Diwani wa kata ya Ubungo anayemaliza muda wake, Boniface Jacob leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam akituhumiwa kumpiga na kumjeruhi mwandishi wa habari wa gazeti la Uhuru, Christopher Lisso.

Jumatano, 9 Septemba 2015

KANISA LA KATOLIKI LAJA NA MPYA SOMA HAPA





KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis jana alieleza mabadiliko mapya yanayolenga kuwarahisishia Wakatoliki kuvunja ndoa zao na kuoa upya.

Dhamira hiyo ni ishara nyingine ya dhamira ya Papa huyo kutaka kulifanya Kanisa Katoliki liwe rafiki zaidi na kuendana matakwa ya walio wengi.

Jumapili, 6 Septemba 2015

WAYNE ROONEY AMWAGA SIFA KWA MESSI HIKI NDICHO ALICHO KISEMA

ESSI
 Mchezaji wa timu ya taifa ya Uingereza na Manchester United Wayne Rooney amefikia rekodi ya mkongwe wa Uingereza Sir Bobby Charlton ingawa kwa penati. Rooney ameweza kufikia rekodi hiyo ya magoli kwa akiwa kwenye mechi na San Marino baada ya England kushinda kwa 0-3.