http://revenuebrust.com/?refcode=28797 UKITEMBELEA LINKI HITYO HAPO JUU UNAWEZA KUJIINGIZIA KIPATO KIKUBWA KWA MDA MCHACHE TU , UNASUBILI NINI?
chanzo:Mtandao revenue brust
TANGAZO
Jumanne, 28 Machi 2017
Jumatatu, 20 Februari 2017
WAJUE VINARA WA UPACHIKAJI MABAO LIGI YA MABINGWA ULAYA
Hawa ndiyo vinara wa upachikaji mabao katika historia ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Cristiano Ronaldo (95)
Jumapili, 19 Februari 2017
ILI KUITULIZA YANGA MAPEMA HIZI NI DAKIKA ALIZO PEWA MAVUGO KUIANGAMIZA
Picha na mtandao
Kikosi cha vinara wa Ligi Kuu Bara
kinaendelea kujifua vilivyo kisiwani Unguja kwa ajili ya mchezo wake wa
Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga utakaofanyika Jumamosi ijayo kwenye Uwanja
wa Taifa jijini Dar es Salaam.
ISHU YA MANJI KUINUNUA KAMPUNI YA TIGO IPO NAMNA HII.....NDIYE MMILIKI KWA SASA
Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ndiye mmiliki mpya wa kampuni ya simu za mikononi ya Tigo.
Manji alinunua kampuni hiyo mwishoni mwa mwaka
Jumatatu, 13 Februari 2017
Magazeti ya Tanzania February 14, 2017 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo
Nimekusogezea magazeti ya leo ya ndani na nje ya Nchi soma hapa
Jumapili, 12 Februari 2017
AWAMU YATATU YA MAKONDA INAKUJA SOMA HAPA........
Picha na Mtandao
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda yupo kwenye midomo ya watu wengi baada ya sakata la dawa za kulevya kuchukua headlines na kutaja watu mbalimbali kwenye orodha hiyo.
Wiki iliyopita Paul Makonda alitaja watu 65 kwenye awamu yake ya pili na sasa yuko tayari kwa awamu ya tatu ambapo ame
Ijumaa, 10 Februari 2017
Kibao cha Sina swaga chake young killer kimepelekea kutokuwepo kwa maelewano kati yake na Jesus
Rapa Jesus
Msanii wa HIPOP Tanzania Aitwae JESUS amekili kutokuwepo kwa maelewano kati yake na young killer hivi sasa baada ya kibao cha Sina swaga chake young killer.
Msanii wa HIPOP Tanzania Aitwae JESUS amekili kutokuwepo kwa maelewano kati yake na young killer hivi sasa baada ya kibao cha Sina swaga chake young killer.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)