Rapa Jesus
Msanii wa HIPOP Tanzania Aitwae JESUS amekili kutokuwepo kwa maelewano kati yake na young killer hivi sasa baada ya kibao cha Sina swaga chake young killer.
Akizungumza katika kipindi cha Mtetemo kilichopo 101.1 sua fm Morogoro Jesus amesema kuwa hawapo katika mawasiliano mazuri na young killer kwa sasa baada ya kibao cha Young killer Sinaga swaga kuchukua baadhi ya mistari yake.
Jesus ambae anatamba na ngoma yake ya niache kama nilivyo aliyoimba na young killer amesema anaamini yakuwa itakuwa poah kwasababu young killer nimetoka nae mbali naamini tutayajenga yataisha.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni