TANGAZO
Jumapili, 12 Februari 2017
AWAMU YATATU YA MAKONDA INAKUJA SOMA HAPA........
Picha na Mtandao
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda yupo kwenye midomo ya watu wengi baada ya sakata la dawa za kulevya kuchukua headlines na kutaja watu mbalimbali kwenye orodha hiyo.
Wiki iliyopita Paul Makonda alitaja watu 65 kwenye awamu yake ya pili na sasa yuko tayari kwa awamu ya tatu ambapo ame
thibitisha jioni ya leo kwamba awamu hiyo ya 3 ni kesho February 13 2017 kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es salaam.
Paul Makonda ameandika “Awamu ya tatu imekamilika naomba tukutane kesho katika ukumbi wa mwalimu nyerere kuanzia saa 4 asbh”
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni