Kikao cha Bunge kimeendelea Dodoma leo
November 19 2015, kikubwa kilichofanyika kwa siku ya leo ilikuwa ni
kutajwa kwa jina la Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania…
Jina lililoteuliwa na Rais Dk. Magufuli kushika nafasi hiyo ni la Mbunge wa Ruangwa, Majaliwa Kassim
Majaliwa ambaye alikuwa Naibu Waziri wa TAMISEMI katika Serikali ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete.Majaliwa Kassim Majaliwa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni