MECHI ZA UFUNGUZI HIZI HAPABournemouth vs Aston Villa
Arsenal vs West Ham United
Chelsea vs Swansea City
Everton vs Watford
Leicester City vs Sunderland
Manchester United vs Tottenham Hotspur
Newcastle United vs Southampton
Norwich City vs Crystal Palace
Stoke City vs Liverpool
West Bromwich Albion vs Manchester CityRatiba
ya Msimu mpya wa 2015/2016 wa Ligi Kuu England imetolewa rasmi leo
asubuhi hii punde Jumatano. Ligi kuanza kutimua Vumbi Mwezi wa
nane(August) tarehe 8, 2015.
United
kukwaana na Tottenham Hotspur kwenye mechi ya Ufunguzi. Timu
zilizopanda Ligi Kuu kama Bournemouth kuanza kumenyana na Aston Villa,
Watford kapangiwa kuanza Ugenini na Everton, Norwich City kuwaalika
Crystal Palace nyumbani kwao.
Chelsea
itaanza utetezi wa taji la Ligi ya Uingereza wakati itakapoikaribisha
nyumbani Swansea katika wikiendi ya tarehe 8-9 mwezi Agosti.
Manchester
City iliomaliza pointi nane nyuma ya Chelsea itaelekea West Bromwich
huku Manchester United ikikabiliana na Tottenham katika uwanja wa Old
Trafford.
Arsenal itaialika West Ham ,Liverpool ikienda
Stoke,Newcastle itakabiliana na Southampton huku Leicester ikiialika
Sunderland nyumbani.
Bournemouth iliopandishwa daraja,Watford na Norwich zitakabiliana na Aston Villa,Everton na Crystal Palace mtawalia