Naomba kuweka kumbukumbu sawa tu kwamba Zitto ni rafiki yangu tangu nikiwa CHADEMA lakini haimanishi tunakubaliana kila kitu
.
Ukweli wa Mungu Zitto hakunisaidia hata lita ya mafuta kwenye kampeni
kwasababu anazojua yeye ambazo nisingependa kumsemea. Aliahidi tu kwenye
magazeti.
Labda wafuasi wake wamrudie kumuuliza vizuri. Kuhusu ESCROW nimeshasema
jana kwamba Umma unajua na nimeshaeleza kwamba chanzo ni gazeti la
CITIZEN.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni