Watu
23 wameuawa Kaskazini mwa Nigeria wakati mabomu yaliyokuwa yameachwa
nyuma na wapiganaji wa kundi la kigaidi la Boko Haram yalipolipuka
katika kambi yao ya zamani.
Wapiganaji wa kiraia wanaosaidiana na
Serikali kupambana na Boko Haram walikuwa wakipekua kambi hiyo iliyokuwa
imehamwa na wapiganaji wa Boko Haram karibu na mji wa Monguno wakati
milipuko ilipotokea.
Inadaiwa kuwa watu hao walikuwa
wakisherehekea baada ya kupata mabomu hayo wakati ambapo bomu moja
lililipuka na kusababisha madhara hayo makubwa.
Tukio hilo
linaonyesha baadhi ya matatizo ambayo raia wanaendelea kukabiliana nayo
hata wakati Boko Haram wanapoendelea kutimuliw
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni