Utawala wa kifalme
nchini Swaziland unaongozwa na mfalme Mswati umetakiwa kufutilia mbali
sherehe maarufu za kitamaduni baada ya wasichana kadha waliokuwa
wakisafiri kwenda kwa sherehe hizo kufa kwenye ajali ya barabarani.
TANGAZO
Jumapili, 30 Agosti 2015
Alie kuwa waziri wa elimu JOSEPH MUNGAI NA MKEWE WAMETANGAZA KUJIUNGA NA CHADEMA
Aliyekua Waziri wa Elimu Joseph Mungai na mkewe wametangaza kuhama CCM
na kujiunga na CHADEMA Mafinga leo ambapo mgombea urais kupitia UKAWA
/CHADEMA Edward Lowassa yupo mkoani Iringa kwaajili ya kampeni
Siku 3 kabla usajili kufungwa – Neymar ameyasema haya kuhusu kujiunga na Man United
Yakiwa yamebakia masaa takribani 72 kabla ya dirisha la usajili barani ulaya kufungwa, winga wa kibrazil Neymar ambaye amekuwa akihusishwa na kujiunga na Man United hatimaye ametoa kauli yake.
Helikopta ya Nyarandu Yanogesha Kampeni za Mgombea Mwenza CCM
Mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu akiwa jukwaani akinadi ilani ya
Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba

Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba.
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni Taifa, Mwigulu Nchemba ambaye pia ni
mgombea wa ubunge Jimbo la Iramba Magharibi akizungumza na wananchi
kuinadi ilani ya CCM.
Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa
mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika Jimbo la
Iramba Magharibi. Mbunge Nkenge CCM aliyemaliza muda wake, Asumpta Mshana akiinadi ilaya ya CCM Helkopta ya mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini ikitua.
Mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini anayeomba kuchaguliwa
tena, Lazaro Nyarandu akiwarudisha baadhi ya wananchi kurudi eneo la
Mkutano wa kampeni na kuacha kushangaa helkopta.
Mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini anayeomba kuchaguliwa
tena, Lazaro Nyarandu akielekea eneo la mkutano pamoja na baadhi ya
wananchi baada ya kutua na helkopta. Helkopta iliyomshusha gombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini anayeomba kuchaguliwa tena, Lazaro Nyarandu ikiwa inamsubiri.
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni Taifa, Mwigulu Nchemba (kushoto)
wakimpongezana Katibu wa CCM Mkoa, Merry Mziku jimboni Iramba Magharibi.
Bi. Suluhu kulia akizungumza neno na Mwigulu Nchemba na Bi. Mziku. wa
Kamati ya Kampeni Taifa, Mwigulu Nchemba ambaye pia ni mgombea wa ubunge
Jimbo la Iramba Magharibi akizungumza na wananchi kuinadi ilani ya CCM Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni Taifa, Mwigulu Nchemba ambaye pia ni
mgombea wa ubunge Jimbo la Iramba Magharibi akizungumza na wananchi
kuinadi ilani ya CCM. Burudani kidogo kabla ya ilani kuendelea kunadiwa jimboni Iramba.
Na Joachim Mushi, Singida
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini anayeomba
kuchaguliwa tena, Lazaro Nyarandu amenogesha kampeni za mgombea mwenza
wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Bi. Samia Suluhu katika mikutano yake
inayoendelea ya kuinadi ilani ya CCM.
Nyarandu ambaye jana alishuka kwa helkopta ya kukodi Jimboni kwake ikiwa
ni muda mfupi baada ya mkutano wa kampeni kuanza alivuta hisia za
wanaCCM na wananchi katika mkutano huo.
Kama hiyo haitoshi mgombea huyo wa ubunge alitumia helkopta hiyo kwenye
mikutano ya kampeni za mgombea mwenza ya Jimbo la Iramba Magharibi.
Akihutubia mkutano wa kampeni katika Kata ya Kengege, Jimbo la Iramba
Magharibi mkoani Singida, Bi. Suluhu aliwaomba wananchi kuipigia kura
CCM kwani ndani ya ilani yake imepanga kufanya mambo mazuri kwa
maendeleo ya mkoa huo.
Alisema endapo watachanguliwa watajenga kiwanda kikubwa cha kusafishia
mafuta ya alizeti jambo ambalo litaongeza thamani ya mazao kwa wakulima
wa eneo hilo.
Aliongeza kuwa mbali na kiwanda hicho kikubwa kuwanufaisha wakulima pia
kitatoa nafasi za ajira kwa vijana ambapo jumla ya wafanyakazi 600
watapata ajira ndani ya kiwanda hicho, alisema baada ya Serikali ya
awamu ya nne kujenga shule za Sekondari za kata za kutosha na maabara
ilani mpya ya CCM imepanga kushughulikia suala la vifaa vya maabara hizo
ili ziweze kutumika kwa ufasaha.
Bi. Suluhu alisema Mkoani Singida imepanga kujenga hospitali kubwa ya
rufaa ambayo itakuwa ikitoa huduma katika mkoa huo na mikoa ya jirani,
pamoja na ujenzi wa barabara ya Ndago.
Aidha akihutubia katika Mkutano mwingine Wilaya ya Ikungi aliahidi
kufanya jitihada za ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Ikungi ili
kusongeza huduma kubwa za afya kwa wanaIkungi, pamoja na kuvipatia umeme
vijiji ambavyo bado havijafikiwa na huduma hiyo kupitia mradi wa Wakala
wa Umeme Vijijini (REA) awamu ya pili.
Aliongeza kuwa licha ya maeneo ya mikoa ya singida kukabiliwa na tishio
la ukame aliwahakikishia hakuna raia atakayekufa njaa katika maeneo
hayo. "...Serikali imejipanga na ghala la kuhifadhi chakula lina akiba
ya kutosha, hivyo niwahakikishie hakuna mwanakijiji ambae atakufa kwa
njaa.
Kwa upande wake Mjumbe wa Kamati ya Kampeni Taifa, Mwigulu Nchemba
ambaye pia ni mgombea wa ubunge Jimbo la Iramba Magharibi akizungumza
jimboni hapo alisema ilani ya CCM imepanga kutekeleza miradi ya maji
katika Vijiji vya Mgundu, Kinampanda, Makunda pamoja na vijiji vingine
vinavyokabiliwa na kero ya maji.
Alisema baadha ya mradi wa ujenzi wa shule za Sekondari za kata
kufanikiwa serikali itakayoundwa na CCM imepanga kusimamia ujenzi wa
mabweni ili kuwanusuru watoto wanaotembea umbali urefu kwenda shuleni
pamoja huku wasichana wakikabiliwa na changamoto za kubebeshwa mimba na
kukatishwa masomo yao.
Mwingulu aliwataka wananchi kutochagua vyama vingine kwani havina hoja
za msingi na vingine vinaazima hadi wagombea ili viweze kuwasimamisha.
Bi. Suluhu anaendelea na ziara yake ambapo sasa anaelekea Mkoa wa Dodoma
akiinadi ilani ya CCM.

Jumamosi, 29 Agosti 2015
Magufuli Ahidi Kuazisha Mahakama ya Mafisadi na Wala Rushwa Iwapo Atachaguliwa kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi,Dkt
John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi katika viwanja vya
Nzovwe mjini Mbeya jioni ya leo,kwenye mkutano wa kampeni ya kuwaomba
ridhaa Watanzania ya kuwaongoza katika awamu ya tano
Alhamisi, 27 Agosti 2015
kama alivyo kamatwa gwajima 'MBATIA AMUTAKA MKAPA AKAMATWE; MSILIZE HAPA
Mwenyekiti wa NCCR – Mageuzi, James
Mbatia ambaye pia ni mwenyekiti mwenza wa Ukawa, ameonesha kutoridhika
na uamuzi unaofanywa na jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake
akidai kuwa hufanya upendeleo viongozi wa ngazi za juu wa CCM huku
akimtolea mfano rais wa awamu ya pili, Benjamini Mkapa.
Jumanne, 25 Agosti 2015
Zao la kwanza la Diamond Platnumz,Anaitwa Harmonize kwenye singo inaitwa Aiyola.
Diamond Platnumz ameamua kumtambulisha msanii wake wa kwanza mtu wangu kutoka kwenye lebo yake ya WCB,msanii huyu anaitwa Harmonize na hii ni singo yake ya kwanza inaitwa Aiyola,ukiisikiliza unaweza kuandika comment hapo chini.
Bonyeza play kumsikiliza mtu wangu.
ONA HAPA MAFURIKO YA WATU HUKO TANDARE BAADA YA MGOMBEA URAISI KUWATEMBELEA WANA NCHI ILI KUJUA KELO ZAO
Mh
Edward Ngoyai Lowassa na mgombea mwenza, Juma Duni wakiwa katika Soko
la Tandale asubuhi ya leo kuzungumza na watanzania wa kipato cha chini
ili kuyaelewa matatizo yao.
Mario Balotelli arudi nyumbani San Siro
Mchezaji wa Liverpool,
Mario Balotelli amesafiri hadi jijini Milan, kufanya vipimo ya afya leo
Jumanne tayari kujiunga na timu yake ya zamani ya AC Milan kwa mkopo kwa
muda mrefu.
Mshambuliaji huyo,
amekuwa akifanya mazoezi peke yake kwa muda wa mwezi sasa, kabla ya
kusafiri hadi Italia kufanya mazungumzo na Sinisa Mihajlovic.
Taarifa ya timu hiyo imesema Mario Balotelli amefika kliniki ya La Madonnina tayari kwa vipimo vya afya.
Kwa mujibu ya makubaliano ya uhamisho huo, klabu ya Liverpool itakuwa ikilipa nusu ya mshahara wa Balotelli akiwa San Siro
Masha afikishwa mahakamani Kisutu leo
Aliyewahi
kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha (mwenye kifimbo
mkononi) akilindwa na walinzi wa Chadema (Red Brigade) alipokuwa kwenye
msafara wa kumpokea mgombea wa urais kwa tiketi ya chama hicho, Edward
Lowassa, jijini Mwanza. Picha|Maktaba
Jumatatu, 24 Agosti 2015
Diva na diamond wajibizana mbovu katika kipindi xxl ya clouds fm
Diva Na Sauti Yake Ya Kujiamin Ikiambatana Na Nyodo Ajibizan Na Diamond
On Air Kisa Mambo Ya Instagram , inasemekana diva Anamongelea vibaya
daimond Instagram, Daimond amemwambia diva kuwa kama ningekuwa
nimekukaza usingekuwa unaniongelea......majibizano yaliendelea nusu
wapigane BDAZIN akazima maic
Tizama hii ya lowasa kupanda daladala leo Kupiga story na watanzania
Picha
mbalimbali zikimuonesha Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Ndugu Edward Lowassa akiwa ndani ya daladala
alilopanda Kituo cha Gongolamboto mwisho kuelekea Chanika, alipokuwa
kwenye ziara ya kujionea hali halisi ya shida ya usafiri wa umma
(daladala) jijini Dar es Salaam leo.
Picha zingine zninamuonesha akilipa nauli yake
Karim Benzema anaondoka Real Madrid? hili ndio jibu lake……
Karim Benzema ambaye ni mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa mwenye asili ya Algeria alikuwa ana uhusishwa kuhama katika klabu yake ya sasa ya Real Madrid na kujiunga na klabu ya Arsenal licha ya vilabu vingi kumuhitaji ila Arsenal ilikuwa inapewa nafasi kubwa ya kumsajili Benzema.
Klabu ya Real Madrid imesisitiza kuwa haiwezi kumuachia nyota huyo aondoke, taarifa hizo ilikuwa kabla ya Benzema hajathibitisha kuwa anataka kuondoka au hataki, ila post yake ya twitter aliyopost August 24

Jumapili, 23 Agosti 2015
MSANII CHIPUKIZI KUTOKA SONGEA AWA AHIDI VIDEO KALI MASHABIKI WAKE HIVI KARIBUNI
Msanii chipukizi kutoka songea anae tambulika kwa jina la FADREE MTOTO WA KOMBA amewaahidi mashabiki wao kuwa letea video ya wimbo wake uitwao KILA SEHEMU KUME CHANGE iliyo fanyika mkoani mbeya ambayo imefanya na director PV
FIFA YAKAA KITAKO NA WADHAMINI WAO KUJADILI MASWALA ;YA RUSHWA
Shirikisho la kandanda duniani Fifa, limekutana na baadhi ya wadhamini wake wakubwa kujadili uchunguzi wa maswala ya rushwa.
Mamlaka za Marekani na Uswisi zinachunguza madai ya utoaji na upokeaji rushwa kwa viongozi wa juu wa shirikisho hilo.
Wadhamini waliokutana na shirikisho hilo ni AB InBev, Adidas, Coca-Cola, McDonald pamoja na Visa.
TOP 10 YA WACHEZAJI WALIOSAJILIWA KWA ADA KUBWA
Kila mwishoni mwa msimu wa Ligi mbalimbali duniani vilabu husika huwa na utamaduni wa kuanza kufuatilia wachezaji sahii watakao ongeza nguvu katika vilabu vyao na namna ambavyo watawapata. Siku hizi kila klabu inapomuhitaji mchezaji kutoka klabu moja kwenda nyingine uhamisho wake uhitaji ada kubwa kutokana na kiwango cha mchezaji husika
picha za matukio mbali mbali katika mchezo wa yanga vs azam kwenye ngao ya jamii
Kama ukufanikiwa kuona mechi ya yanga
dhidi ya azam kwenye ngao ya jamii jana iliochezwa kwenye uwanja wa
taifa ambapo yanga walishinda kwenye mchezo huu KAKWAYA100 imekuandalia
picha
za matukio mbalimbali yaliotokea ndani ya Uwanja na nje ya Uwanja wakati
mabingwa wapya wa ngao ya hisani Yanga wakishangilia ushindi walioupata dhidi ya Azam FC, timu ambayo ilikuwa ina miliki ngao hiyo.
LOWASSA ASEMA SASA TIMU IMEKAMILIKA KWAJILI YA MAPAMBANO BAADA YA SUMAYE KUJIUNGA NA UKAWA
Stori za Siasa na uzito wake,
zinatufikia mpya kila siku na kutoka Bahari Beach Dar es Salaam, Ukumbi uleule ambao July 28 2015 Mbunge wa Monduli anayemaliza muda wake na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Ngoyai Lowassa alitangaza kujiunga CHADEMA, Hapo jana Waziri Mkuu Mstaafu
MAGUFULI KUISHIKA DAR LEO WAKATI AKIZINDUA KAMPEN
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kinatarajiwa kuzindua kampeni zake za urais,
ubunge na udiwani nchi nzima katika viwanja vya Jangwani leo, katika
mkutano utakaorushwa moja kwa moja na televisheni na redio mbalimbali
nchi nzima.
Katika uzinduzi huo, CCM pia inatarajiwa kuweka ilani yake ya uchaguzi
hadharani, itakayonadiwa na mgombea urais wake, Dk John Magufuli na
wagombea wengine wa ubunge na udiwani nchi nzima.
Moja ya mambo ambayo CCM inatarajiwa kufafanua ni matumaini makubwa ya
uwezo wa mgombea wake katika kusimamia utekelezaji wa ilani hiyo,
kutokana na historia yake ya utendaji ndani ya Serikali katika nafasi
mbalimbali alizokabidhiwa, ikiwemo Waziri wa Ujenzi.
Alhamisi, 20 Agosti 2015
STARS KWENDA UTURUKI MOJA KWA MOJA
Timu
ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro
sasa itaondoka nchini siku ya jumapili usiku kuelekea Istambul nchini
Uturuki kwa kambi ya siku nane kujiandaa na
Rais Nkurunziza aapishwa kwa muhula wa 3
Mwandishi wa BBC Prime
Ndikumagenge nchini Burundi anasema kuwa sherehe hiyo imefanyika kwa
mshangao mkubwa kwa kuwa rais Nkurunziza alitarajiwa kuapishwa wiki
ijayo.
Hatahivyo hakuna kiongozi wa taifa lolote aliyehudhuria sherehe za
kuapishwa kwake huku Afrika kusini ikishirikishwa na waziri mmoja
kulingana na shirika AFP.
Mataifa kadhaa yakiwemo yale ya China na Urusi yalituma mabalozi wao.
Copy the BEST Traders and Make Money (One Click) : http://ow.ly/KNICZ
Copy the BEST Traders and Make Money (One Click) : http://ow.ly/KNICZ
Rais wa Burundi Pierre
Nkurunziza anaapishwa kwa muhula wa tatu uliozua utata.
Mwandishi wa BBC Prime Ndikumagenge nchini Burundi anasema kuwa sherehe
hiyo imefanyika kwa mshangao mkubwa kwa kuwa rais Nkurunziza alitarajiwa
kuapishwa wiki ijayo.
Hatahivyo hakuna kiongozi wa taifa lolote aliyehudhuria sherehe za
kuapishwa kwake huku Afrika kusini ikishirikishwa na waziri mmoja
kulingana na shirika AFP.
Mataifa kadhaa yakiwemo yale ya China na Urusi yalituma mabalozi wao
Copy the BEST Traders and Make Money (One Click) : http://ow.ly/KNICZ
Copy the BEST Traders and Make Money (One Click) : http://ow.ly/KNICZ
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza anaapishwa kwa muhula wa tatu uliozua utata.
Mwandishi
wa BBC Prime Ndikumagenge nchini Burundi anasema kuwa sherehe hiyo
imefanyika kwa mshangao mkubwa kwa kuwa rais Nkurunziza alitarajiwa
kuapishwa wiki ijayo.Hatahivyo hakuna kiongozi wa taifa lolote aliyehudhuria sherehe za kuapishwa kwake huku Afrika kusini ikishirikishwa na waziri mmoja kulingana na shirika AFP
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)