TANGAZO

TANGAZO

Jumanne, 29 Desemba 2015

GUARDIOLA ATUA KENYA KWA AJILI YA MAPUMZIKO

 

 

Kocha huyo ametua kwenye Uwanja wa Kimataifa wa JKIA akiwa na mkewe Cristina Serra na watoto wake Maria, Marius na Valentina Guardiola.

Kocha huyo wa zamani wa Barcelona, alipiga picha na baadhi ya mashabiki akiwemo Gavana wa Mombasa, Ali Hassan Joho.
GUARDIOLA AKIWA NA GAVANA WA KENYA, ALI JOHO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni