Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa zawadi ya khanga,blanket na ndoo kwenye
wodi ya wazazi katika zahanati iliyopo kwenye kambi ya wakimbizi ya
Nyarugusu kwa Mama mkimbizi kutoka nchi ya Burundi aliyejifungua.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwajulia hali akina mama waliolazwa katika
zahanati iliyopo ndani ya kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu Mkoani Kigoma
wanaotoka nchi ya Kidemokrasia ya Congo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongea na wakimbizi wa Congo na Burundi katika kambi ua Nyarugusu.
Baadhi
wa wakimbizi kutoka nchi ya Congo na Burundi waishio katika Kambi ya
wakimbizi Nyalugusu Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma, wakimsikiliza Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa (hayupo pichani) akiwahutubia.Picha na Editha
Karlo wa Globu ya Jamii, Kigoma.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni