TANGAZO
Jumatatu, 21 Desemba 2015
KINGWENDU ASEMA HIKI KUHUSU MADAWA YA KULEVYA
Msanii wa vichekesho maarufu kama Kingwendu amewasihi vijana ambao wanatumia Madawa ya kulevya waachane nayo kwani ya naathali kubwa sana katika maisha ya binadamu,
Akizungumza na Thomas wikesi blogs Kingwendu amesema kuwa yeye anakuwa msitari wa mbele kuhamasisha vijana kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya .
Kingwendu alisema hayo baada ya kumalizika kwa Tamasha la Matumaini ambalo limefanyika mkoani Morogoro liliro kuwa lina zuia vijana na matumizi ya madawa ya kulevya katika tamasha hilo, kingwendu aliongozana na timu yake ya vichekesho maalufu kama Kingwendu famili ambao ni Mama wa milindimo,Misha B pia Ardo Vampaya ambao wote wamekuwa wakipinga vikali matumizi ya madawa ya kulevya.
Pia katika tamasha hilo lililo andaliwa na Mhasisi Richard Jackson Ananja limeweza kuelimisha sana vijana ambao wana tumia madawa ya kulevya waweze kuacha na pia ameweza kufungua kituo ambacho kinawasaidia vijana walioacha matumizi ya madawa ya kulevya iliwasiweze kushawishika kurudikatika matumizi ya madawa hayo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni