TANGAZO

TANGAZO

Jumanne, 29 Desemba 2015

Mkubwa Fella kwenye headlines za utambulisho wa kundi jipya Salamu TMK…(Video)


Mkurugenzi wa Yamoto Band na TMK Wanaume Family, Said Fella time hii anakualika kuangalia video ya vijana wake wapya wapo saba ambao wanaunda kundi jipya lililopewa jina la Salamu TMK.
Vijana hao wameachia video ya single yao mpya ya
kwanza iitwayo NAFSI iliyotayarishwa na Pablo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni