Yamoto Band walisafiri kwenda Marekani kwa ajili ya shows kwenye miji mbalimbali na kukutana na Watanzania waishio Marekani ambao kwa kiasi kikubwa wamekua na kiu ya kuwaona kwenye stage Yamoto ambao ndio mara yao ya kwanza Marekani na hizi picha kwenye hii post ni za show yao ya Washington DC.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA WWW.DMK411.BLOGSPOT.COM
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni